Inakimbizaaaaa


Friday, January 31, 2014

SIKU YA MWISHO YA USAJILI - WENGER AKANUSHA KUTAKA KUMSAJILI DRAXLER


OMMY DIMPOZ AFUNGUKA SABABU YA VIDEO YA TUPOGO KUTO FANYIKA MPAKA LEO

 Bongo Flava artist Ommy Dimpoz amefunguka sababu ya ngoma yake ya tupogo kutofanyiwa video mpaka leo licha ya kuwa ni moja kati ya collabo kubwa kuwahi kufanywa kati ya msanii wa bongo na msanii mkubwa hot in afrika, coz aliifanya na J Martins,kama zilivyo ngoma zote za Ommy Dimpoz kuwa zinafanyaga vizuri hata tupogo haikupata shida kutop up hadi nafasi ya kwanza kwenye chat mbalimbali ikiwemo Clouds Fm Top 20, wengi tulitegemea video yake ingefanyika fasta, na pengine ingemuweka ktk ramani ya muziki wa Afrika, angeonekana kama sasa Diamond anavyofanya vizuri zaidi baada ya collabo yake na Davido.

SHOW YA DIAMOND KENYA-WANANDOA WAKIJIACHIA NA DIAMOND JUKWAANI,KUNA KESI HAPO???


Ishu nzima ilihapeni wikend iliyopita,nchini Kenya wakati mkali wa bongo fleva,Diamond alipopiga show kwenye event ya safaricom
wanandoa hawa kila mmoja kwa wakati wake alipandwea na mizuka na kupanda stejini akafanya mbwembwe zake kama picha zinavyojieleza
,kibongo bongo kama angefanya kituko mmoja nyumbani ingekuwa kesi kuwa kamuaibisha.Sasa jiulize kuna kesi hapo?ama wote walirudi nyumbani na kupongezana????

NEW VIDEO:D'Prince - Gentleman ft Davido and Don Jazzy


KWA WAPENZI WASERIES ZA HOLLYWOOD,HII IMETOKA LEO(GAME OG THRONES SEASON4),TAZAMA TRAILER

CLUB YA KISASA YAZINDULIWA DAR

 Klabu mpya ya kisasa imezinduliwa unaitwa Full Stop ipo maeneo ya Kinondoni Manyanya nyuma ya kituo cha mafuta cha Mwanamboka.

Muonekano Mpya wa Chris Brown wazua Utata...


Diamond Platinumz: Wachina wa nini hata wabongo wanaweza pia...

 Msanii anaefanya vizuri Africa mashariki na africa ki ujumla ambae juzi kati aliweza kuachia nyimbo na video yake mpya kwa pamoja akiwa amemshirikisha Davido kutoka nchini Nigeria..Jana amewapa shavu watanzania wenzake wakiwa wanafanya matengenezo ya Swimming Pool ambalo lipo ndani ya nyumba yake mpya.....

Tuesday, May 22, 2012

Didier Drogba kuondoka Chelsea kuenda China


Chelsea FC imedhibitisha kwamba star wao aliyefunga goli la kutwaa ubingwa juzi,Didier Drogba atakua akiondoka Chelsea pindi mkataba wake ukiisha mwezi wa sita mwaka huu. habari hizo zimewaikitisha mashabiki wa timu hiyo lakini club imetoa tamko la kwmba ingawa hawatapenda kumuona Drogba akiondoka watajitahidi kuendelea kuwa timu bora katika mchezo wa mpira wa miguu. Drogba mpaka sasa hajazungumzia kuhusu issue ya kuondoka ila wadau wake wa karibu wamesema kuna ishara kana kwamba atahamia kwenye club ya mpira iliyopo China iitwayo Shanghai Shenhua. Drogba ataungana na mchezaji mwenzie wa zamani Nicholas Anelka ambapo atalipwa £250,000 kwa wiki.

Wednesday, November 23, 2011

I am Travellar Ya Solo Thang Kuingia Sokoni Soon

SHOW SOME LOVE & SUPPORT for this MOVEMENT ,,Put or share this picture in your blog or any page or your wall in different sites so that our friends and everybody will know about this great and long awaited NEWS!!

GET your MONEY READY ,,Its Worth believe ME,,14 CLASSIC HIP HOP song,,this will be My Best Album so FAR!! be my WITNESS grab your COPY,,,On CD or ONLINE,,, iTUNEs,AMAZON etc,,,from JAN 2012!!!LEGGOOOO

Monday, October 31, 2011

I Dont Wanna Be Alone" - AY ft Sauti Sol

In a move no one anticipated, neo-soul boy band Sauti Sol and Tanzanian Hip-Hop heavyweight AY have teamed for what can only be described as a musical cross breed between the soft sounds of Sauti and the heavy thumping that's AY's signature. "I don't wanna be alone" leaves you feeling mesmerized at the very least, and it's not just the powerful vocals on the track but also the well thought, conscious yet not over-the-top lyrics that'll get you hitting the replay button.

And If the song doesn't do it for you, the video will probably have you sold; five minutes of panoramic scenery, beautiful palettes of bright colors and a story well knitted into it all. The boys have outdone themselves once again.

Friday, October 21, 2011

Dullayo & Suprano live show

BRAND NEW TRACK KUTOKA KWA "CMB PREZZO" FEAT: ULOPA- 4 SHO 4 SHIZZY

Jackson Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4 SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika vituo vyote vya Tv Africa nzima:

Wednesday, October 19, 2011

Album Cover: T-Pain – ‘REVOLVER’

Mzee wa ma Auto-Tune mtu mzima T-Pain ameachia cover ya Album yake mpya ya nne inayoitwa rEVOLVER. ambapo kwenye cover hilo linaonesha picha za T-Pain wa tano tofauti ambazo ni kama kitambulisho cha Style zake tano tofauti anazotumiaga kwenye ngoma zake ikiwemo kama Uwezo wake wa kuchana,kuimba,kucheza, na style yake ya mavazi..Project hiyo inategemea kudondoka December 6 mwaka huu ikawa amewashirikisha wakali kibao akiwemo Wiz Khalifa,Chris Brown na wengine wengi.....

Tuesday, October 4, 2011

Ne-Yo expecting baby boy

According to Uptown Magazine, Ne-Yo has revealed the sex of his second child with longtime girlfriend, Monyetta Shaw. The crooner announced that he’s having his first son, who will join his 10-month-old daughter, Madilyn. The singer told the mag, “I’ve always prided myself on being able to make music that everybody can listen to and that’s not gonna change. That’s just reinforced now that I have a little girl and a little boy on the way. Yeah, I’m doing the same thing I’ve been doing.” Ne-Yo recently cleared up rumors that he proposed to the mother of his kids. He tweeted that he will let fans know if and when that happens.

Jay-Z talks Beyonce’s pregnancy

While he’s normally tight-lipped about Beyonce, late last week Jay-Z told EOnline.com how it feels to be expecting his first child. Hova stated, “I'm excited! I think that is pretty easy.” He refused to go into further detail about the sex of their baby or when his wife is due, but the diva is rumored to be in her second trimester. We’ll keep you posted with further details.

Monday, October 3, 2011

TAMASHA LA TUSKER ALL STARS CONCERT 2011 LATIKISA JIJI LA NAIROBI

Shaggy akiwaimbisha maelfu ya watu waliofurika kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011,ndani ya viwanja vya Carnivo jijini Nairobi,usiku wa kuamkia leoClouds Enertainment Media Group ni moja ya kampuni ambazo zinafanya vizuri sana sasa hivi katika nyanja za kuandaa matamasha ya muziki na burudani nyingine nchini Tanzania na imefanikiwa kwa kiwango kikubwa, kwani kuleta wanamuziki kutoka pande mbalimbali za dunia na kuonyesha uwezo wao katika kutangaza muziki wa ndani ya nchi na wa nje pia pamoja na wanamuziki wenyewe, lakini pia kampuni hii imetangaza zaidi jina lake kupitia tamasha la Serengeti Fiesta ambalo hufanyika kila mwaka lishirikisha wanamuziki wa nje ya Tanzania na ndani pia Kwa sasa Clouds Enertainment Media Group imevuka mipaka na kuratibu tamasha kubwa la muziki lililokwenda kwa jina la Tusker All Stars Concert 2011 lililofanyika jana Carnivo jijini Nairobi nchini Kenya, likishirikisha wanamuziki wakubwa kutoka Marekani na Afrika kama vile Shaggy, Eve E, na Cabo Snoop kutoka nchini Agola pamoja na wanamuziki kadhaa kutoka hapa Afrika Mashariki, ambapo tamasha hilo limefanikiwa sana na kutikisa ukanda wa Afrika Mashariki huku jina la Kampuni hiyo liliendelea kujijengea heshima kubwa katika Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla Jana pamoja na kuwepo kwa hali ya mvua mvua,lakini maelfu ya watu waliokuwa kwenye viwanja vya carnivo kujiachia ndani ya tamasha la Tusker All Stars 2011,hawakutaka kubanduka kabisa,badala yake walikuwa wakijifunika na viti ili wasikose uhondo uliokuwa ukiendelea kutolewa jukwaani. Mmoja wa madada wakali katika miondoko ya hipo hop nchini Marekani,Eve E akiwaachia mistari wakazi wa Nairobi,ambao wengi wao walikuwa wakivutiwa nae kwa namna ambavyo alikuwa akionesha kukomaa kwake kwenye anga ya muziki wa hip hop. Shaggy ni mmoja wa wanamuziki ambao kiukweli awapo jukwaani hana masikhara kabisa na uwanja wake,kila wakati hupenda kuhakikisha watu wanashangweka tu,na ndivyo ilivyokuwa kwenye shoo yake usiku wa kuamkia leo,kila wakati alikuwa akiwaimbisha mashabiki nao bila hiyana walikwenda nae sambamba,hali iliyomfurahisha zaidi.


Shaggy na bak voko wake wakilishambulia jukwaa,huku maelfu ya mashabiki waliofika kwenye tamasha hilo wakipaga mayowe kuonesha kuwa wanakunwa vilivyo na umahiri wa wanamuziki hao.

Friday, September 30, 2011

TUSKER ALL STARS YAZIDI KUPAMBA NAIROBI

Hawa ni wasanii watakao towa burudani ambapo amekosekanika msanii moja ni EVE (kutoka Marekani),ambaye anatalajia kufika nae katika tamasha la TUSKER ALL STARS 2011,Linalotalajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Carnivo jijini Nairobi,Oktoba 1.

New Music: Justin Bieber – ‘How to Love RMX"

Young star Justin Bieber nae amedhirisha ni jinsi gani anaikubali Album mpya ya mtu mzima kutoka YMCMB rapper Lil wayne kwa kufanya RMX ya ngoma ya rapper huyo ambayo kwasasa ina hit kwenye chat kibao za media tofauti duniani Justin Bieber amerudia track inayoitwa "How to Love" kutoka kwenye Album inayoitwa Carter IV ambayo imetoka siku wiki chache zilizopita Umundani ya ngoma hiyo dogo Justin ameonesha uwezo wake wa kuimba na ku rap kama mtu mzima Weezy.........

counters