Aunty na The great katika moja ya scene za kifamilia zaidi."katika movie hii Aunty kaonesha mabadiliko makubwa sana tofauti na hapo awali,kiwango ni kikubwa zaidi ya mwanzo maana nimeshafanya nae kazi nyingi kama Fake smile,Village paster,Unfortunate love n.k" .The Great Kanumba anasema.
Mzee magali na mama Mjata wakisoma script kabla ya kuingia katika set.
Pichani ni baadhi ya picha ya maandalizi ya filamu mpya inayoandaliwa na Muigizaji bora wa filamu hapa Tanzania The Great Kanumba,anasema wapenzi na wadau mbalimbali wa Filamu wakae mkao wa kula,anakuja na ujio mwingine mpya na wenye kutikisa katika tasnia ya filamu.
Aunty Ezeckiel kama kawaida yake ni kufunika tu kwa kila uhusika anaopangiwa..hapa akiwa ametulia na The Great Kanumba katika scene hii ya kifamilia zaidi.
No comments:
Post a Comment