Inakimbizaaaaa


Friday, October 30, 2009

BENI KINYAIYA aibuka Chanel Teni baada ya kufulia kitaa


Aliyekuwa Mtangazaji ‘The history’ wa Kituo cha runinga cha East Africa (EATV) kupitia kipindi cha Afro-beat, Beny Kinyaiya, hatimaye ameibukia katika Kituo cha runinga cha Chanel Ten na kipindi kipya kitakachokwenda kwa jina la ‘Full Vipaji’.
Akijimwaga mbele ya safu hii juzi kati, Beny alisema kuwa amefikia hatua hiyo baada ya ‘kufulia kitaa’ kwa muda mrefu bila kazi yoyote.

Alisema kuwa tangu aliposimama kufanya tasnia hiyo, watu wengi wanaongea mambo ambayo hayana ukweli na kuongeza kuwa moto wake watauona kuanzia Novemba, mwaka huu.

No comments:


counters