Mwana Fa aka Binamu (wa pili shoto akiwa na wadau wa sauzi) akiambatana na Blackryno jana waliwapagaisha wapenzi wa Bongo flava waishio Cape Town , Afrika ya kusini. Katika concert lililofulikwa na wapenzi wa bongo flava kutoka nchi mbalimbali za Afrika, Mwana Fa aliwahakikishia wapenzi wake kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali. Blackryno naye hakusita kuwaonyesha wapenzi wa musiki wa bongo flava hapa Cape Town kuwa Bongo hip hop inatisha.
Kwa habari zaidi za tukio lote tembelea
www.hotslice.blogspot.com
Mdau Cape Town
No comments:
Post a Comment