Inakimbizaaaaa


Saturday, March 20, 2010

Dj John Dilinga aka Dj JD, Dj Juicy na Dj Q kuwasha moto Chadibwa Beach – Kigamboni Jumamosi 27th March




Kwa mara ya kwanza tunakutambulisha fire burns disco theque ktk ufukwe tulivu wa Chadibwa Beach – Kigamboni.
Ambapo moto wa ukweli utawashwa na kuufanya usiku kuwa na nuru ya aina yake,ni extravaganza night ambapo moto wenye mvuto,na wa aina yake utakuwa ukikuangazia mandhari mpya na nzuri ya ufukwe wa chadibwa.


Kama ulikuwa hujui hivi sasa baada ya mabadiliko makubwa yaliyofanyika na kuleta mwonekano wa kijanja zaidi sasa tunafungua rasmi jumamosi wa wakali yaani all stars night, MORE FIREEEEEEE,ktk kuhakikisha kuwa hukai chini ktk style za raga dance party……


Ni Dj JUICY,Dj Q,na JOHN DILLINGA aka THE EVER LASTING Dj JD kama haitoshi matukio yote ya duniani utayaona kupitia the BIG SCREEN,nyama choma,mishkaki, si ya kuuliza.


NI FIRE BURNS NIGHT,ni tarehe 27 mwezi wa 3 kwa kiingilio cha buku 3 mlangoni.na baada ya ufunguzi huu kila siku ya jmosi utakuwa ukipata burdani hiii.


NI DJ Q,DJ JUICE,NA DJ JD. Baaaa somo kufyededana tu,ndani ntiti nje ntiti….Hapa ni kugida,kuramba,kuhondomola,mpaka chweeeee USIMWAMBIE MWENZAKO

No comments:


counters