Inakimbizaaaaa


Wednesday, October 19, 2011

Album Cover: T-Pain – ‘REVOLVER’

Mzee wa ma Auto-Tune mtu mzima T-Pain ameachia cover ya Album yake mpya ya nne inayoitwa rEVOLVER. ambapo kwenye cover hilo linaonesha picha za T-Pain wa tano tofauti ambazo ni kama kitambulisho cha Style zake tano tofauti anazotumiaga kwenye ngoma zake ikiwemo kama Uwezo wake wa kuchana,kuimba,kucheza, na style yake ya mavazi..Project hiyo inategemea kudondoka December 6 mwaka huu ikawa amewashirikisha wakali kibao akiwemo Wiz Khalifa,Chris Brown na wengine wengi.....

No comments:


counters