Bongo Flava artist Ommy Dimpoz amefunguka sababu ya ngoma yake ya tupogo
kutofanyiwa video mpaka leo licha ya kuwa ni moja kati ya collabo kubwa
kuwahi kufanywa kati ya msanii wa bongo na msanii mkubwa hot in afrika,
coz aliifanya na J Martins,kama zilivyo ngoma zote za Ommy Dimpoz kuwa
zinafanyaga vizuri hata tupogo haikupata shida kutop up hadi nafasi ya
kwanza kwenye chat mbalimbali ikiwemo Clouds Fm Top 20, wengi
tulitegemea video yake ingefanyika fasta, na pengine ingemuweka ktk
ramani ya muziki wa Afrika, angeonekana kama sasa Diamond anavyofanya
vizuri zaidi baada ya collabo yake na Davido.
No comments:
Post a Comment