Inakimbizaaaaa


Wednesday, August 10, 2011

TIFU ZITO

Gladness Mallya na Rhobi Chacha
TIFU zito limeibuka baina ya wapenzi zilipendwa Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anayewakilisha kutoka tasnia ya filamu na Elias Barnaba ‘Barnaba’ (pichani) anayefurukuta katika ‘game’ ya muziki wa kizazi kipya, shuka na aya zinazofuata upate kitu kamili.

‘Niuzi’ zisizo na chembe ya changa la macho kutoka kwa chanzo chetu ambacho kipo karibu na Shilole, zinasema kwamba wasanii hao wanajuta kufahamiana kwani baada ya kupigana vibuti wameanza kazi mpya ya kutupiana vijembe.

“Kila mmoja anamtuhumu mwenzake, Shilole amekuwa busy akijibizana meseji na Barbana, sijui kwa nini…

No comments:


counters