Fid Q is so excited Today, Kama hujui leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza na wa kiume wa Fid Q
anafikisha umri wa mwaka mmoja! FId Q kama BABA ameamua
kutoa ngoma itayakayosindikiza hii siku ambayo ni kubwa kwake na kwetu
pia! mistari inajieleza zaidi.
No comments:
Post a Comment