Inakimbizaaaaa


Wednesday, August 10, 2011

Kelly Rowland amwaga radhi mbele ya mashabiki wake

Wiki iliopita ilikua ni Nicky Minaj na wiki hii ni zamu ya mwanadada Kelly Rowland kumwaga radhi mbele ya umati wa watu alipokua ana perform ngoma yake motivation ghafla nguo ikamvuka nakuacha kifua chake chote njee ndipo mashabiki waloikuepo kwenye eneo hilo walipoanza kutoa simu,camera na kumpiga picha mwanadada huyo katika hali hiyo design kama mwanadada alikua amevaa kinguo flan cha ajabu sana kiasi cha kwamba kumfanya aibike mbele ya mashabiki wake......

No comments:


counters