Inakimbizaaaaa


Monday, April 4, 2011

VIGOGO WAANZA TENA SAFARI ZA LOLIONDO

Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Utaratibu) Steven Wassira na Mbunge wa Musoma vijijini Nimrod Mkono (kulia) wakinywa dawa kwa mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.
SAFARI za vigogo wa Serikali kwenda kijijini Samunge, Loliondo kwa Mchungaji Ambilikile Mwasapila kunywa dawa ya kutibu magonjwa sugu, zimeanza tena baada ya kusimama kwa siku kadhaa kutokana na kupungua kwa msongamano mkubwa wa magari uliokuwapo.Kupungua kwa foleni hiyo yapata siku mbili zilizopita, kumetoa fursa ya kuanza kwa utaratibu mpya wa kuruhusu magari machache yanayokwenda Samunge na jana…

No comments:


counters