Inakimbizaaaaa


Tuesday, April 19, 2011

MUSWADA HUU WA KATIBA YA NCHI TUSIPOANGALIA UTALETA VURUGU UVUNJIFU WA AMANI

TUMSHUKURU Mungu wetu aliyetuumba kutokana na kutuweka hai, hakika ametupendelea na bado anatulinda.

Baada ya kusema hayo naona ni vyema nianze moja kwa moja na mada ya leo ambayo inahusu Muswada wa Marekebisho ya Katiba ya Tanzania, mjadala ambao umeanza kuvuruga umoja wa kitaifa na kutugawa kwenye makundi.

Ndugu zangu, hakika hili la katiba ni jambo zito. Tumeshuhudia tangu muswada huo uanze kujadiliwa na wadau mbalimbali siku kadhaa zilizopita, mambo yanayojitokeza.…

No comments:


counters