Inakimbizaaaaa


Tuesday, April 19, 2011

Rais Jakaya Kikwete akijibu maswali kwenye Mkutano wa Uwekezaji wa Afrika unaoshirikisha pia wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza mjini Dar es Salaam. Wengine ni Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi (kushoto), Rais Mwai Kibaki wa Kenya (wa pili kulia) na Waziri Mkuu wa Rwanda, Bernard Makuza (kulia).

No comments:


counters