Inakimbizaaaaa


Tuesday, November 3, 2009

MWANA FA LIVE CAPE TOWN


Mwana Fa aka Binamu (wa pili shoto akiwa na wadau wa sauzi) akiambatana na Blackryno jana waliwapagaisha wapenzi wa Bongo flava waishio Cape Town , Afrika ya kusini. Katika concert lililofulikwa na wapenzi wa bongo flava kutoka nchi mbalimbali za Afrika, Mwana Fa aliwahakikishia wapenzi wake kuwa yeye ni moto wa kuotea mbali. Blackryno naye hakusita kuwaonyesha wapenzi wa musiki wa bongo flava hapa Cape Town kuwa Bongo hip hop inatisha.
Kwa habari zaidi za tukio lote tembelea
www.hotslice.blogspot.com
Mdau Cape Town

Friday, October 30, 2009

BENI KINYAIYA aibuka Chanel Teni baada ya kufulia kitaa


Aliyekuwa Mtangazaji ‘The history’ wa Kituo cha runinga cha East Africa (EATV) kupitia kipindi cha Afro-beat, Beny Kinyaiya, hatimaye ameibukia katika Kituo cha runinga cha Chanel Ten na kipindi kipya kitakachokwenda kwa jina la ‘Full Vipaji’.
Akijimwaga mbele ya safu hii juzi kati, Beny alisema kuwa amefikia hatua hiyo baada ya ‘kufulia kitaa’ kwa muda mrefu bila kazi yoyote.

Alisema kuwa tangu aliposimama kufanya tasnia hiyo, watu wengi wanaongea mambo ambayo hayana ukweli na kuongeza kuwa moto wake watauona kuanzia Novemba, mwaka huu.

Thursday, October 29, 2009

FIESTA ONE LOVE NDANI YA DAR ES SALAAM


Mkali huyu kufanya kamuzi la nguvu ndani ya Tamasha la fiesta one love 2009,litakalofanyika Lidaz Club,kinondoni jijini Dar,mkali huyo ataambana na crew ya watu sita,kama mdau wa burudani umejipanga vipi ? kiiingilio sio issue sana kwani ukiwahi mapema utainunua kwa buku kumi tu,ukichelewa ndiyo hivyo tena kwa elfu kumi na tano kwa kichwa,changamka wewe ukajionee kamuzi la kufa mtu kutoka kwa mchizi wa ughaibuni,Wanajamvini nina haja kweli ya kumtaja jina? nambieni kama vipi nifanye hivyo ili twende sawa,halafu unajua nini kuna kidude cha kubofya bofya hivi kwa ajili ya fiesta,bofya link hiyo uone uhondo wake ulivyotulia.

JK Amzawadia Mlemavu wa miguu Bajaji Makete



JK akikabidhi usafiri aina ya Bajaji kwa mwanamkw mlemavu Sara Mageni Sanga aliyekaa chini katika kijiji cha Lupalilo,Wilayani Makete,mkoa wa Iringa jana jioni.Pembeni ya Rais kulia ni mkuu wa mkoa wa Iringa Bwana Mohamed Abdulaziz

Wednesday, October 28, 2009

SHOKITO KUKAMUA JUKWAA MOJA NA FERRE GOLA DAR

MWIMBAJI nyota chipukizi wa Kongo Makinu Kombo ‘Shikito’ anatarajiwa kuongozana na mkali wa bolingo kutoka nchini humo, Ferre Gola Batangire.Akizungumza mjini Dar es Salaam leo, msaidizi Kitengo cha Uhusiano,Udhamini na Matukio wa New Habari, Aziza Seif, alisema Shikito ni miongoni mwa wanamuziki 17 watakaokuja nchini kwa mwaliko wa New Habari(2006)Ltd.

“Katika orodha ya wanamuziki 17 ambao Ferre ametutumia majina yake, yupopia Shikito lakini mtoto mwingine aitwaye Ilunga hatakuja kwenye msafarahuu,” alisema.
Aziza Aliwataja wanamuziki wengine wanaokuja na Ferre kuwa ni pamoja naFreddy Makola Linakasi, Nikodeni Kanday Ngoy, Olenga Makiese, ClizoKalonda Lopeta, Sungu Mbobolo, De Gaule Matima Makitela, Guy NgolaMawesele, Awulu Wala Tshipanga Wale, Ngwanzu Bavuidibio Gaza, DebosSunguesabena wa Kayembe, Mabiala Mobele, Mchele Mkelele Kitongo naChristian Solo Kabongo Muyambi.

Wengine ni Vicky Moleka Leta, Patricia Isako Apakati, Renate KungaMuwangu, Nancy Mbemba-Lohuma.Shikito ni kijana mdogo ambae amejichukulia umaarufu mkubwa sana ndani nanje ya Kongo kwa kuwa mwimbaji mahiri mwenye umri mdogo zaidi katika angaya muziki wa dansi afrika.

Dk Mwakyembe aifyatukia Takukuru

MBUNGE wa Kyela, Dk Harrison Mwakyembe, amesema, yeye ni jasiri hivyo Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa(Takukuru) haiwezi kumnyamazisha...

ELIZA NA KEVIN (Mmmmh)

Day 51 on M-Net’s Big Brother Revolution sees the housemates relaxing as they come to terms with the fact that Biggie seems to have disappeared leaving the housemates with a note saying they’re on their own for now! Biggie also left behind a bright red telephone which connects the housemates to the Big Brother call centre but the operators are never available to take the call. How will the housemates cope without Biggie? Will Biggie be back? And will there be any new ‘housemates’ joining the game when Biggie returns? Tune in to Big Brother Revolution on DStv channel 198 or 199 and for more information, log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured above are Kevin and Elizabeth.
(SWALI LINALOULIZWA NA WATAZAMAJI HIVI SASA KUHUSU UKARIBU KATI YA DADA YETU ELIZA NA KELVIN NI JE, MWISHO WA YOTE ELIZA ATAWEZA KUTOKA MJENGONI BILA 'KUDU' NA KELVIN? WEWE MSOMAJI UNAONAJE?)

BIRTHDAY YA AUNT EZEKIEL FULL MASHAUZI

NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman, usiku wa kuamkia leo, alifanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 23 nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Sherehe hiyo ilikuwa ni ya mashauzi, maandalizi yake yalikuwa babu kubwa na kuwahusisha wasanii wenzake kibao wa Bongo Movies. na ishu inasomeka kama ifutavyo:
Brandina Chagula ‘Johari’ (Kulia) akijaribu kujitetea baada ya kuombwa kutoa shoo ya kurukaruka kichura.

Aunt Ezekiel akiongea na Maimartha Jesse aliyekuwa mshereheshaji wa shughuli hiyo (MC).



Maimartha Jesse na washiriki wengine wakisakata rumba kwa pamoja.




Aunt Ezekiel na Maimatha Jesse wakikamua msosi kwa pamoja.



Tuesday, October 20, 2009

WEMA SEPETU KAMA ANAAIBU HIVI

Huyu ndie wema sepetu akiwa katika pozi la kawaida sana nae yumo hajafulia

KERI HILSON AKIWA NA ELIZABETH BIGBROTHER

Queen Elizabeth akiwa Kery Hillson katika pozi la kuitangaza nchi yetu ya Tanzania tumpigieni kura za kutosha Watanzania

counters