Inakimbizaaaaa


Friday, September 30, 2011

WIMBO MPYA WA SAGNA (YAMENISHINDA)

Huu ni wimbo mpya kabisa wa msanii wetu SAGNA unaitwa YAMENISHINDA. Wimbo huu ni mwendelezo wa story iliyopo katika wimbo wake uliopita wa MGANGA. Mwanzo tulipanga kuu release kwenye radio stations Jumatatu ya wiki ijayo ila kuna mabadiliko kidogo sasa unaweza kuanza kupigwa muda wowote.

Video za nyimbo zote mbili MGANGA pamoja na YAMENISHINDA zinakuja very soon.

No comments:


counters