Inakimbizaaaaa


Friday, September 30, 2011

Download ANTIVIRUS MIXTAPE VOLUME 2 SEPT 2011

Msanii mkongwe Sugu au kama alivyokuwa akifahamika enzi zile kama Mr II amerudi tena na album inayoitwa antivirus mixtape vol 2 Mixtape hii itakayoshirikisha wasanii wengi wa bongo flava, inakuja kwa dhumuni la kupigania sanaa hii na kupigania haki ya badhii ya wasanii wa sanaa hii ya bongo flava na bongo hip hop.

No comments:


counters