Msanii kutoka Darstamina anayejulikana kwa jina Shetta ametoa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mdananda iliyotengenezwa na msanii wa bongo fleva Dully Sykes na mixing imefanywa na Pancho. Mdananda maana yake ni mtu fulani ambaye anajipendekeza kwa mtu kila mara au mdandiaji mdandiaji huyo anaitwa MDANANDA.
No comments:
Post a Comment