Inakimbizaaaaa


Friday, August 26, 2011

JK AMRUDISHA TENA JAIRO KIFUNGONI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo akizungumza na wanahabari aliporipoti ofisini kwake juzi (Jumatano) asubuhi.

SIKU moja baada ya Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo, kumrejesha kazini Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo, Rais Jakaya Kikwete, amemsimamisha tena kazi ili kupisha uchunguzi zaidi juu ya tuhuma zinazomkabili kuhusiana na matumizi mabaya ya madaraka yake.

Jairo ambaye juzi aliingia ofisini na kupokelewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini, ikiwa ni pamoja na gari lake kusukumwa na…

No comments:


counters