Inakimbizaaaaa


Friday, July 1, 2011

BERRY BLACK KUWAKILISHA KWENYE KONGAMANO BOSTON

BERRYBLACK NITAWAKILISHA PANDE HIZI ZA TANZANIA/ZANZIBAR KATIKA KONGAMANO NA SEMINA KUBWA YA SIKU 3 INAYOHUSU MUZIKI NA SANAA ITAKAYOFANYIKA KATIKA MJI WA BOSTON MAREKANI,NATARAJIA KUSAFIRI WIKI IJAYO KUELEKEA AMERIKA ,ASANTENI NDG ZANGU!!

No comments:


counters