Inakimbizaaaaa


Monday, July 4, 2011

AKUDO WAWABWAGA MAPACHA WATATU

Ile Bendi ya muziki wa dansi hapa nchini Akudo Impact 'Vijana wa Masauti', siku za usoni zilizopita iliwapagawisha mashabiki wake kwa kukonga nyoyo za mashaabiki hao kwenye tamasha la pamoja na wenzao Mapacha Watatu kwani shoo hiyo iliwika kwenye Ukumbi wa Vatican City uliopo Sinza hapa Jijini. Kwenye onyesho hilo waimbaji wa Bendi hiyo ya Akudo waliongozwa na Christian Bela, walikuja na vionjo mbalimbali zikiwemo na Rap zilizowachanyanga mashabiki wao na kujikuta wakishangiliwa.

Mbali na hilo wanamuziki wabendi hiyo waliwafanya mashabiki wasitoke jukwaani, kwa kucheza hasa pale walipokuwa wakipiga muziki wa vyombo vitupu yaani Sebene.

Kwani Mashabikli walionyesha kufurahia tamasha hilo la pamoja , ambapo kwa muda mrefu walikuwa akicheza sambamba na mashabiki wake.

No comments:


counters