Inakimbizaaaaa


Saturday, June 25, 2011

Lady Jay de ft Oliver Mtukudzi - Mimi ni mimi

Usiku wa Jumatatu Pale Mj Records wimbo mpya wa Jide Ft Oliver Mtukudzi ulikua ukirekodiwa chini ya Prod Marco Chali. GongaMx ilifanikiwa kuona kinachoendelea na Jide mwenyewe kuwahakikishia mashabiki wake kukaa mkao wa kusubiria Track iyo Mpya Itakayoachiwa hivi karibuni.

No comments:


counters