Inakimbizaaaaa


Saturday, May 7, 2011

HANDSOME WA KIJIJI KUDONDOKA KITAANI MUDA WOWOTE

Mzigo wa Handsome wa kijiji muda wowote kuanzia sasa utakuwa tayari kuingia mtaani.Kila kitu kimekamilika na sasa Wadau wasubiri kuona kazi ilivyofanyika.Hakika wadau watafurahi wenyewe kuona kazi ilivyofanyika katika mazingira tofauti tofauti.Kaeni mkao wa kula kusubiri kazi itakavyokuwa

No comments:


counters