Msanii Jacob Stephen(JB) amepata tuzo ya muigizaji bora iliyotolewa na ZIFF.JB akiizungumzia tuzo hiyo amesema anamshukuru sana mungu kwa kumjalia kipaji vile vile anaipeleka tuzo hiyo kwa mkewe kwani ndio kila kitu kwani ndio anampa matumaini katika maisha yake na katika sanaa yake,
No comments:
Post a Comment