Habari zilizonifikia zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Ally Kiba amepata ajali maeneo ya Mikumi Morogoro akiwa anatokea MBEYA akiwa na steji show wake.
Habari zinasema Ally ameumia kidogo ila masteji show wake ndio wameumia sana, walikuwa kwenye privet car
Kutoka Bongo Star Link
No comments:
Post a Comment