Inakimbizaaaaa


Monday, December 6, 2010

UZINDUZI WA ALBAMU YA YOUNG G WASANII KIBAO


Mkurugenzi wa Fish Crab Records Lamar jana amezungumza juu ya uzinduzi wa album ya kwanza ya Young D inayoitwa Young Rapper, lamar amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya tarehe 8 mkesha wa kuamkia siku ya uhuru ndani ya Maisha Club kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi. wasanii kibao watakuwepo Lina, Mwasiti, Barnaba, Amini, Maunda Zorro, Angie,Mataluma, Ditto, Sam wa ukweli, Sajna na Roma huku wakipewa sapot na Chege, Nakaaya, Jaffarai, Chidi Beenz, Geez Mabovu, Fid q na wengine kibao. be there and be square

No comments:


counters