Inakimbizaaaaa


Sunday, November 28, 2010

BONGE LA FILAMU YA OFF SIDE KUZINDULIWA DRC

Filamu ambayo inasubiriwa kwa hamu kuingia katika soko la filamu Tanzania, ikiwa inaigizwa na wasanii mashuhuri wa hapa nchini Steven Kanumba, Vicent Kigosi na Irene Uwoya itazinduliwa kwa mara ya kwanza Congo.

No comments:


counters