Spika wa Bunge na Mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta akizungumza na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko na Mbunge wa Hanang, Dk. Mary Nagu (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum Janet Masaburi (katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Januari 26, 2009.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani akizungumza na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni Dk. Wilbroad Slaa, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Newala, Capt. George Mkuchika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma juzi.
No comments:
Post a Comment