PPF PLAZA MWANZA baada ya kukamilika awamu ya kwanza (shoto) PPF Plaza inaendelea na ujenzi ambapo upande huu wa kulia kutakuwa na hoteli kubwa ya kitalii ya nyota tano. Rock City inaendelea kuwa mswano kwani kutakuwa na hoteli mbili zenye hadhi ya kimataifa
No comments:
Post a Comment