Inakimbizaaaaa
Friday, January 31, 2014
OMMY DIMPOZ AFUNGUKA SABABU YA VIDEO YA TUPOGO KUTO FANYIKA MPAKA LEO
Bongo Flava artist Ommy Dimpoz amefunguka sababu ya ngoma yake ya tupogo
kutofanyiwa video mpaka leo licha ya kuwa ni moja kati ya collabo kubwa
kuwahi kufanywa kati ya msanii wa bongo na msanii mkubwa hot in afrika,
coz aliifanya na J Martins,kama zilivyo ngoma zote za Ommy Dimpoz kuwa
zinafanyaga vizuri hata tupogo haikupata shida kutop up hadi nafasi ya
kwanza kwenye chat mbalimbali ikiwemo Clouds Fm Top 20, wengi
tulitegemea video yake ingefanyika fasta, na pengine ingemuweka ktk
ramani ya muziki wa Afrika, angeonekana kama sasa Diamond anavyofanya
vizuri zaidi baada ya collabo yake na Davido.
SHOW YA DIAMOND KENYA-WANANDOA WAKIJIACHIA NA DIAMOND JUKWAANI,KUNA KESI HAPO???
Ishu nzima ilihapeni wikend iliyopita,nchini Kenya wakati mkali wa bongo fleva,Diamond alipopiga show kwenye event ya safaricom
wanandoa hawa kila mmoja kwa wakati wake alipandwea na mizuka na kupanda stejini akafanya mbwembwe zake kama picha zinavyojieleza
,kibongo bongo kama angefanya kituko mmoja nyumbani ingekuwa kesi kuwa kamuaibisha.Sasa jiulize kuna kesi hapo?ama wote walirudi nyumbani na kupongezana????
CLUB YA KISASA YAZINDULIWA DAR
Klabu mpya ya kisasa imezinduliwa unaitwa Full Stop ipo maeneo ya Kinondoni Manyanya nyuma ya kituo cha mafuta cha Mwanamboka.
Diamond Platinumz: Wachina wa nini hata wabongo wanaweza pia...
Msanii anaefanya vizuri Africa mashariki na africa ki ujumla ambae juzi
kati aliweza kuachia nyimbo na video yake mpya kwa pamoja akiwa
amemshirikisha Davido kutoka nchini Nigeria..Jana amewapa shavu
watanzania wenzake wakiwa wanafanya matengenezo ya Swimming Pool ambalo
lipo ndani ya nyumba yake mpya.....
Tuesday, May 22, 2012
Didier Drogba kuondoka Chelsea kuenda China
Chelsea FC imedhibitisha kwamba star wao aliyefunga goli la kutwaa ubingwa juzi,Didier Drogba atakua akiondoka Chelsea pindi mkataba wake ukiisha mwezi wa sita mwaka huu. habari hizo zimewaikitisha mashabiki wa timu hiyo lakini club imetoa tamko la kwmba ingawa hawatapenda kumuona Drogba akiondoka watajitahidi kuendelea kuwa timu bora katika mchezo wa mpira wa miguu. Drogba mpaka sasa hajazungumzia kuhusu issue ya kuondoka ila wadau wake wa karibu wamesema kuna ishara kana kwamba atahamia kwenye club ya mpira iliyopo China iitwayo Shanghai Shenhua. Drogba ataungana na mchezaji mwenzie wa zamani Nicholas Anelka ambapo atalipwa £250,000 kwa wiki.
Wednesday, November 23, 2011
I am Travellar Ya Solo Thang Kuingia Sokoni Soon
SHOW SOME LOVE & SUPPORT for this MOVEMENT ,,Put or share this picture in your blog or any page or your wall in different sites so that our friends and everybody will know about this great and long awaited NEWS!!
GET your MONEY READY ,,Its Worth believe ME,,14 CLASSIC HIP HOP song,,this will be My Best Album so FAR!! be my WITNESS grab your COPY,,,On CD or ONLINE,,, iTUNEs,AMAZON etc,,,from JAN 2012!!!LEGGOOOO
GET your MONEY READY ,,Its Worth believe ME,,14 CLASSIC HIP HOP song,,this will be My Best Album so FAR!! be my WITNESS grab your COPY,,,On CD or ONLINE,,, iTUNEs,AMAZON etc,,,from JAN 2012!!!LEGGOOOO
Subscribe to:
Posts (Atom)