Day 42 on M-Net's Big Brother Revolution was once again packedwith action with the eviction of Liz and Kaone PLUS the exit of Namibiancelebrity guest The Dogg AND performances by Zambian star JK. Tune into Big Brother Revolution on DStv channel 198 or 199 for more greatentertainment, surprises, drama and conspiracy 24/7 as the race to winUSD 200 000 continues. For more information log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here are Liz and Kaone withseries host IK.
Inakimbizaaaaa
Tuesday, October 20, 2009
LIZ AMPONZA KAONE WA BIGBROTHER
Day 42 on M-Net's Big Brother Revolution was once again packedwith action with the eviction of Liz and Kaone PLUS the exit of Namibiancelebrity guest The Dogg AND performances by Zambian star JK. Tune into Big Brother Revolution on DStv channel 198 or 199 for more greatentertainment, surprises, drama and conspiracy 24/7 as the race to winUSD 200 000 continues. For more information log on to www.mnetafrica.com/bigbrother. Pictured here are Liz and Kaone withseries host IK.
NDOVU YAPANDA CHATI YA AJABU
Thursday, October 15, 2009
BARBARA KANAM NA KARIBU "NOMA"
tangu kutambulishwa kwa album ya "karibu" ya mdada barbara kanam yaonesha mafanikio makubwa, kwa mauzo ndani ya congo na kwingineko barani afrika. wadau wa muziki na wanahabari wanaitaja album hiyo kuwa ni miongoni mwa album bora congo, haya mama fuata nyayo za akina mbilia bel na tshala muana nawe ujenge ngome yako kimuziki.
IKO KWENYE MATENGENEZO KWA MUDA
Mpenzi msomaji/mtembeleaji wa BC,BC itakuwa chini ya matengenezo kwa siku mbili tatu zijazo.Kwa bahati mbaya,matengenezo hayo yatasababisha kutokuwepo kwa habari(posts) mpya katika muda huo wa matengenezo.Pamoja na hayo,maoni yako katika posts zilizopo yanakaribishwa na yataendelea kuwekwa hewani kama kawaida. Unakaribishwa pia kuzitizama posts mbalimbali zilizopita,yakiwemo mahojiano mbalimbali kwa kutembelea ukurasa wa “Archives”.
Matengenezo ni muhimu ili kuhakikisha kwamba BC inaendelea kupatikana kirahisi na kuwafikia watu wengi zaidi.Matengenezo haya hayatoathiri muonekano wa BC kwa namna yeyote ile kwa sasa.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Asanteni.
Jeff Msangi kwa niaba ya wana-BC wote.
Monday, October 12, 2009
UNAMJUA FINA MANGO ALIWAHI KUWA MTANGAZAJI WA CLOUDS FM

Fina Mango nilianza kumsikia Muda Mrefu sana Jamani sana,Sauti yake,alivyokuwa anacheka na kila kitu chake,was Inspired sana na huyu mdada tho sijawahi Pata nafasi ya kuongea nae ila Na mkubali sana wish arudi katika Airwaves tuendelee kumsikiliza..was Enjoying her much..she is good,really Good!!nilikuwa naamka asubuhi kusikiliza Powerbreakfast yake na Masoud na nilikuwa sikosi kabisaaa...amebarikiwa sauti na ujuzi wa kuyapanga maneno na kuzungumza kwa pose,aliniua ile siku aliyo mu interview Jay Z alivyokuja Tzee na Kujiita Mohamed Hovee..that was the best interview ya simu ambayo sijawahi tena isikia mpaka leo..natamani nimuone tu nimpe mkono!!aniambukize yale ma Diamond na ma tanzanite yake!!
hahaha!!
TINA TURNER LIVE CONCERT IN DAR
Friday, October 9, 2009
MAREKANI KULIPUA SEHEMU YA MWEZI LEO
KELVIN IS REJECTED

Kevin recently made it clear that he likes Elizabeth when he asked her to share a bed with him . Elizabeth then told Kevin that she doesn’t have any romantic feelings for him, and that she has a boyfriend outside of the House. Kevin pushed, but was still rebuffed by Elizabeth.Tonight, Kevin tried to get closer to Elizabeth when he sat next to her on the couch. While caressing her face and hair, Kevin tells her he likes her and wanted to know whether she would feel jealous if he was “friendly” with other girls. Elizabeth then replied that she would have no reason to be jealous, as she is not his girlfriend and can therefore not be jealous of something that she’s never had.
Thursday, October 8, 2009
WEMA SEPETU AHARIBIKA
Ilikuwa ‘lokesheni’ katika moja ya nyumba maarufu za ‘shuuting’ huko Mbezi-Beach, jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo Wema alibambwa na Kamera ya Ijumaa akiwa na donda katika goti la mguu wake wa kulia.Baada ya kuona jereha hilo, king’ora cha ubongo wa Paparazi Wetu kilianza kugonga kutaka kujua kulikoni.
Mbali na kidonda, upekuzi wa ‘bodi’ la mnyange huyo anayeongoza kwa kufanya vichwa vya habari za mastaa ‘town’, ulionesha baadhi ya maeneo ya mwili wake yakiwa ‘full’ mistari miekundu na hivyo kupoteza mvuto uleee!
Ilibidi kuanza kuhoji kilichosababisha mrembo huyo kuharibika ngozi yake nyororo, ambapo katika nusanusa ya hapa na pale, mmoja wa mastaa wenzake ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini, alilinong’oneza Ijumaa kwamba, mabadiliko ya ngozi ni jambo la kawaida linaloweza kuwatokea baadhi ya wanawake lakini hustawi zaidi baada ya matumizi ‘tuumachi’ ya vipodozi.
CHEKI MIGUU YAKE ILIVYO

“Mabadiliko ya ngozi hasa kuwa na michirizi na wakati mwingine mistari, siyo ishu kubwa kwa baadhi ya wanawake, lakini inaweza kuwa ishu endapo vipodozi hivyo vitakuwa too much,” alisema staa huyo aliyekiri kuwa, hata yeye alishangaa alipomwona Wema akiwa na michirizi kibao mwilini.
Ilibidi Ijumaa liongee na mtaalamu wake wa masuala ya afya ya ngozi ambaye alibainisha kwamba, kupasuka kwa ngozi na kuwa na mistari miekundu (scrabs) kwa wanawake kunaweza kusababishwa na mambo makuu mawili.
Mtaalamu huyo aliyataja mambo hayo kuwa ni unene na matumizi ya vipodozi kama vile ‘carolight’ yenye kemikali za ‘hydroquine’ zinazosababisha madhara makubwa kwa ngozi ya binadamu.
Alisema kwa mwanamke ambaye si mnene lakini akatoka michirizi hiyo, mara nyingi ni matumizi ya vipodozi vyenye kemikali.
Gazeti hili lilifanya jitihada za kumsaka Wema kupitia kilongalonga chake ili aeleze kidonda hicho kilisababishwa na nini, hakuweza kupatikana.
Subscribe to:
Posts (Atom)


