Inakimbizaaaaa


Friday, October 9, 2009

MAREKANI KULIPUA SEHEMU YA MWEZI LEO


Leo majira ya saa 8 za Tanzania Marekani wanataraji kurusha makombora yake mawili angani kulipua sehemu ya mwezi katika utafiti wao wa kutafuta maji kwenye mwezi.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi!

No comments:


counters