Rapper ambae kwasasa anapeperusha bendera ya YMCMB mtu mzima Bow wow amerudi tena na Bonge la Mixtape ambayo inaitwa 'I'm Better Than You' mzigo ambao yeye amaemua kuufannya kama utangulizi kabla ya Album yake ambayo inatarajiwa kudondoka sokoni December 6 ya mwaka huu Bow wow amesema kwenye Mixtape hiyo kuna track 11 na zote ni kali ikawamu kupiga Collaboration na Rafiki yake kipenzi Chris Brown na God Father wake mtu mzima Jermaine Dupri
No comments:
Post a Comment