Member wa Goodlyfe Crew,Weasel na Radio pamoja na washikaji zao, wametakiwa kulipa gharama za uharibifu walioufanya pande za Club Rouge
Inadaiwa kuwa Goodlife waliharibu mali kadhaa walipoanzisha ugomvi na kuvunja glass zenye thamani ya milioni kadhaa za Uganda na kusababisha kufungiwa kwenye club hiyo,coz wiki iliyopita walitaka kuzama pande za club hiyo kwenye Bad Black Party na boss wa club hiyo,Spear Abowe kuwaambia kuwa hawaingii mpaka walipe gharama za uharibifu walioufanya na kuishia kutukana na kugombanana na bouncers hao mlangoni
No comments:
Post a Comment