Inakimbizaaaaa


Tuesday, July 12, 2011

Langa amekiri alikuwa anatumia madawa ya kulevya

Ni kupitia Cheusi Dawa Tv, inayoendeshwa na msanii Fid Q,ndipo msanii Langa a.k.a Rais wa Ghetto anafunguka kuhusu story ya maisha yake mpaka kufikia kujiita Rais wa Mateja.

Story hii kiujumla inasikitisha sana staki kukumalizia uhondo iangalie mwenyewe video hiii.

No comments:


counters