Inakimbizaaaaa


Monday, June 27, 2011

SERENGETI FIESTA 2011, MWANZA! MWANZA YAFANA

MWANAMUZIKI wa kimataifa wa ragga na mshindi wa tuzo za Grammy 2011, Orville Richard ‘Shaggy’ akiendelea kuwapagawisha wakazi wa jiji la Mwanza. Na kweli ikuwa ni show ya usisimua na ni historia kwa wakazi wa jiji la Mwanza kwa kupata kitu kitamua katika burudani ni imebaki gumzo kwa kila mtu akiadithia. Shukrani nyingi ziende kwa wadhamini wakuu Serengeti Breweries Ltd, Gapco, Precision Air, Prime Time Promotion na Clouds Fm na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa ujumla kwa kuweza kufanikisha.

No comments:


counters