Msanii kutoka Tanzania AY ambaye hivi karibuni alitangaza kufanya Track Yake mpya akimshirikisha Mtoto Wa Master P kutoka Marekani Lil Romeo na Mwanadada & D'anna Stewart kutoka Marekani pia. Ay Ameiambia GongaMx leo kwa njia ya Msg Kuwa Tayari amefika Jijini Los Angeles Jana kwa ajili ya Kushoot Video yake hiyo na Lil Romeo. Ay amesema kuwa video hiyo itafanyika Hollywood na AY ameiambia GongaMx kuwa Atatuma Picha ambazo zitaonesha matukio hatakayokuwa akishoot. GongaMx inamtakia mafanikio ya Video yake hiyo.
No comments:
Post a Comment