Inakimbizaaaaa


Friday, April 22, 2011

VIFAA VYA MAANGAMIZI MISS TABATA 2011 HIVI HAPA



Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tabata 2011 wakiwa katika picha za pamoja katika pozi tofauti wakati wa mazoezi yao katika Ukumbi wa Dar West Park Tabata jijini Dar es Salaam. Warembo hawa wanachuana kuwania taji linaloshikiliwa na Miss Tabata 2010 Consolatha Lukosi.

No comments:


counters