Waziri wa ujenzi John Magufuli akinywa dawa kwa Mchungaji Ambilikile Masapile katika kijiji cha Samunge, Loliondo mkoani Arusha.
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, jana aliingia katika Kijijini Samunge kwa mchungaji Ambilikile Masapila na kupata kikombe cha dawa, kisha kutangaza neema ya kujengwa kwa barabara kuu inayoingia kijijini hapo.
Magufuli aliuambia umati wa watu uliokuwa ukisubiri zamu yao kunywa dawa kuwa, Serikali itatumia Sh1.05 bilioni kwa ajili kutengenenza barabara hiyo ili iweze kupitika wakati wote kwa lengo la kuwarahisishia usafiri wanaokwenda kunywa…
No comments:
Post a Comment