Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mstahiki Adam Kimbisa akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete zawadi ya jezi namba tisa ya Timu ya Real Madrid ya Hispania inayovaliwa na nyota wa timu hiyo Ronaldo Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kukuza mchezo wa soka nchini.
No comments:
Post a Comment