Alicia Keys and Black Eyed Peas to kick off World Cup
mwanamuziki wa R&B alicia keys na black eyed peas wataperfom katika concert itakayoianzisha officialy mashindano ya kombe la dunia nchini southafrica tarehe 10 mwezi wa sita mwaka huu.Shakira, john legend na Angelique kidjo watakuwepo pia. jerome valcke wa football governing body amesema concert hiyo itakuwa "testament to the universal and unifying power of football and music".
No comments:
Post a Comment