miss universe tanzania 2009 aenda china kushiriki MISS INTERNATIONAL 2009
Miss Universe Tanzania Illuminata James akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere ambaye ameondoka leo kuelekea nchini China katika mashindano ya MISS INTERNATIONAL 2009. Fainali ya mashindano yatafanyika Novemba 28, mjini Chengdu .
No comments:
Post a Comment