Inakimbizaaaaa


Monday, November 9, 2009

ABBEY ARCADE Avamiwa na Wezi, wachota dola 100,000


Katika hali ya kushangaza wezi wamevamia nyumba ya mwanamitindo ‘sistaduu’ nchini Marekani, Abbey Arcade na kuiba vitu mbalimbali vikiwemo vito vya thamani, nguo pamoja na ‘laptop’ aina ya Apple, vyote vikiwa na thamani ya ‘ngawira’ za kimarekani dola 100,000...

No comments:


counters