Inakimbizaaaaa


Wednesday, October 28, 2009

BIRTHDAY YA AUNT EZEKIEL FULL MASHAUZI

NYOTA mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel Jujuman, usiku wa kuamkia leo, alifanya sherehe ya kutimiza umri wa miaka 23 nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Sherehe hiyo ilikuwa ni ya mashauzi, maandalizi yake yalikuwa babu kubwa na kuwahusisha wasanii wenzake kibao wa Bongo Movies. na ishu inasomeka kama ifutavyo:
Brandina Chagula ‘Johari’ (Kulia) akijaribu kujitetea baada ya kuombwa kutoa shoo ya kurukaruka kichura.

Aunt Ezekiel akiongea na Maimartha Jesse aliyekuwa mshereheshaji wa shughuli hiyo (MC).



Maimartha Jesse na washiriki wengine wakisakata rumba kwa pamoja.




Aunt Ezekiel na Maimatha Jesse wakikamua msosi kwa pamoja.



3 comments:

Unknown said...

aaaaaah wapi mbona iko realy simple jamani

Anonymous said...

ya kawaida tu,hamna lolote la maana,

Anonymous said...

mi nimependa sana,big up mwanike


counters