
LADY JAY DEE
Masongi
1.Siku Hazigandi
2.Penzi
3.Njalo
4.Mwanaume Hana Dawa
5.Nishike Mkono
6.Rest In Peace
7.Nyimbo Zetu
8.Nuru
9.Usikatae
10.Shukrani
11.Mwambie Ukweli
Shavu la Bongomdundo:
Tayari tumeshasikia track kibao kutoka kwenye albam hii kama vile;Njalo,Usikatae,Mwambie Ukweli...na sasa Siku Hazigandi...zote naweza kusema ziko tyt kinoma...natumai albam nzima itakua ya kufa mtu hahahaha
Mashavu yenu
Jaydee sijaona wa kulingana na wewe unatisha mashairi yako yametulia wengi wameshindwa kuiga kamua dada mwaaaaaaaaaaaaa - isa mom
Lady Jay Dee
No comments:
Post a Comment